Chagua kifurushi, thibitisha ombi la malipo kwenye simu yako na data yako inawashwa papo hapo.
Utapokea ombi la malipo (STK push) kwenye namba hii. Namba lazima iwe ya mtandao uliochagua hapo juu.